Samia aongoza ujumbe mazungumzo Tanzania, Uganda

Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo ya pamoja na Ujumbe wa Uganda uliongozwa na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 07, 2026. (Picha na Ikulu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button