Samia ashiriki kumbukizi ya 3 Urithi wa Mkapa

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Мкара katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 31 Julai, 2024.