Samia ataja ajenda tatu kuongoza nchi

MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaja ajenda tatu za chama hicho ambazo ni kipaumbele katika kuongoza nchi.
Samia alitaja ajenda hizo alipozungumza na wananchi wa Sengerema katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mnadani jana.
Alisema miongoni mwa ajenda hizo ni kuliheshimisha jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndani na nje ya nchi.
“Kuiheshimisha nchi yetu tukiweka amani, tukifanya chaguzi bila matatizo bila vurugu bila zogo lakini tutaheshimisha nchi yetu kama tutafuata sheria zetu wenyewe, tunapata haki, kila mtu anapata haki yake na mambo kama hayo ndani ya nchi lakini nje ya nchi ni kuimarisha uhusiano wa kidiplomaisia ambao mpaka hatua tuliyofikia jina letu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni zuri sana, linahehsimika sana nje ya Tanzania,” alisema Samia.
Aliongeza: “Katika hili la tatu wapo Watanzania ambao kila wakiona jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaheshimika duniani kazi yao ni kushusha heshima ya nchi yao, nawoamba tuachane nao waacheni waende kivyaovyao,”
Samia alitaja ajenda nyingine ya CCM ni maendeleo ya jamii inayojumuisha sekta ya afya, elimu, maji safi na salama, umeme na nishati.
“Tunakwenda kuendeleza mambo yote ambayo yanaleta maendeleo ya jamii, tunataka kuhakikisha kila Mtanzania yupo karibu na huduma ya afya, anatibiwa bila shida, kila Mtanzania anapata maji safi na salama, kila Mtanzania ana nishati ya kutosha kutumia kwa maendeleo yake, kila Mtanzania anapata fursa ya elimu bila kujali hadhi yake ya kiuchumi, kikabila, vyovyote vile na sekta zote zinazokuza uchumi wetu tutaziangalia kwa karibu,” alisema.
Samia alitaja ajenda nyingine ni maendeleo ya kiuchumi na kwamba wanaangalia sekta ya kilimo, uvuvi, ufugaji, madini na sekta nyingine za uzalishaji.

“Na ndiyo maana kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi, serikali tumejitoa kutoa ruzuku mbalimbali nyingi ili sekta hizi zikue; zilete ajira, mapato kwa Watanzania wetu, zilete ustawi wa maisha kwa watu wetu, ajira kwa vijana wetu na ndiyo maana tunaleta pembejeo za kilimo kwa ruzuku ili mazao yaongezeke, tuuze tupate faida kama taifa na wakulima wafaidike,” alisema.
Aliongeza: “Lingine ni kutafutia masoko, bei zinazolipa jasho la wakulima… kwenye kilimo tumejitahidi sana kujenga maghala na vihenge vya kutunza mazao tunayovuna ya biashara na chakula na siku hizi hakuna zao la biashara wala chakula… ndiyo maana tunaleta vizimba 400 vya kufuga samaki na tunaleta viwanda kila wilaya ili ajira ziongezeke”.
Samia alisema katika mpango huo wa serikali wafugaji nchini wamepata soko la mifugo yao hasa baada ya kutoa chanjo za mifugo.
“Nje ya nchi tulikuwa tunashindwa kwa vile hatukuwa kwenye orodha ya dunia ya nchi ambazo zinachanja mifugo yake, tumeleta ruzuku; ng’ombe, mbuzi kondoo wanachanja kwa ruzuku lakini kuku tumesema watachanja bure, tukiweza kwenda vizuri tuna soko mpaka hatuwezi kulimaliza ndugu zangu, huko ndipo Tanzania inakoelekea,” alisema




I am making a real GOOD MONEY (80$ to 92$ / hr. )online from my laptop. Last month I GOT a check of nearly 21,000$, this online work is simple and straightforward, I don’t have to go to the OFFICE. At that point this work opportunity is for you. If you are interested. Simply give it a shot on the accompanying site link… https://Www.EarnApp1.Com
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com
Earn cash with a job that lets you make more than $700 per day. Get paid weekly with earnings of $3,500 or more by simply doing easy online work. No special skills are required, and the regular earnings are amazing. All you need is just 2 hours a day for this job, and the income is fantastic. Anyone can get started by following the details here:
COPY THIS →→→→ http://Www.Work99.Site
I am making a real GOOD MONEY (80$ to 92$ / hr. )online from my laptop. Last month I GOT a check of nearly 21,000$, this online work is simple and straightforward, I don’t have to gor to the OFFICE. At that point this work opportunity is for you. If you are interested. Simply give it a shot on the accompanying site link… https://Www.EarnApp1.Com