Samia aweka jiwe la msingi Suluhu Sports Academy

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar leo Agosti 22.