Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji wakati wakitembelea mabanda mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.