Serikali kukuza teknolojia ya kidijiti

SERIKALI imesema inaendelea na kazi ya kuboresha na kukuza teknolojia ya kidijiti kwa lengo kuongeza mapato na kutoa fursa za ukuaji wa sekta ya habari nchini.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,  Mhandisi Kundo Mathew ametoa kauli hiyo leo Zanzibar wakati wa maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yanayoshirikisha waandisii wa habari kutoka vyombo mbalimbali ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi.

Habari Zifananazo

Back to top button