Vijana wanufaika mageuzi ya mikopo

SERIKALI imetangaza kupunguza masharti ya upatikanaji wa mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, ikiwemo kuondoa sharti la lazima la kuunda kikundi ili kijana aweze kukopa.
Akizungumza Machi 2, 2026 mkoani Mtwara wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Vijana, Waziri wa Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha kila kijana ananufaika na mikopo hiyo bila vikwazo.
Katika tukio hilo, vijana wamekabidhiwa bajaji, pikipiki na maguta vyenye thamani ya shilingi milioni 140 kupitia CRDB Foundation kama sehemu ya mkakati wa kuwawezesha kiuchumi. SOMA: Bodaboda, bajaji watakiwa kuanzisha vikundi kujikwamua
Aidha, Dk. Nanauka amesema Serikali imetoa muda wa miezi mitatu hadi sita kabla ya mkopaji kuanza kurejesha mkopo, hatua inayolenga kurahisisha marejesho na kuzuia vijana kukimbilia mikopo yenye riba kubwa.
Naye Meneja Mwandamizi wa CRDB Foundation, Baraka Kihalo amesema wanufaika wa mpango huo ni vijana 40 waliopatiwa pikipiki 15, bajaji 5 na maguta 5, huku gharama hizo zikijumuisha bima pamoja na usajili wa vyombo hivyo.

**TANGAZO LA AJIRA**
**NAFASI: WAHARIRI 332,545 WA KITABU**
Kampuni ya WAJA iliyopo Buza, Jijini Dar es Salaam, inatangaza nafasi za kazi **332,545 za Wahariri** kwa ajili ya kuhariri kitabu chenye kichwa cha habari:
*“Kuua Chama cha Siasa nchini Tanzania (KILA MTU ANAJUA KITAWALE MILELE) – Kama walivyoua Viwanda vya Serikali ya Awamu ya Kwanza”*
### Madhumuni ya Ajira
Kampuni inalenga kuunda jopo kubwa la wahariri kwa ajili ya kufanya uchambuzi, mapitio na maboresho ya kitaalamu ya muswada wa kitabu kabla ya kuchapishwa rasmi.
### Majukumu ya Kazi:
* Kuhariri sarufi, tahajia na matumizi sahihi ya lugha.
* Kuboresha mtiririko wa hoja na mpangilio wa sura.
* Kufanya uhakiki wa kitaalamu (proofreading na copy-editing).
* Kutoa maoni ya maboresho bila kuathiri dhamira ya mwandishi.
* Kufanya kazi kwa ushirikiano ndani ya timu pana ya wahariri.
### Sifa za Mwombaji:
* Awe na ujuzi mzuri wa lugha ya Kiswahili.
* Elimu au uzoefu katika Fasihi, Uandishi wa Habari, Sayansi ya Siasa au taaluma zinazohusiana itakuwa nyongeza.
* Awe na uwezo wa kufanya kazi katika timu kubwa.
* Awe mwadilifu, makini na mwenye kuheshimu muda wa kazi.
### Namna ya Kutuma Maombi:
Waombaji watume:
* Barua ya maombi
* Wasifu binafsi (CV)
* Maelezo ya uzoefu au mfano wa kazi (kama ipo)
Maombi yawasilishwe katika ofisi za Kampuni ya WAJA, Buza – Dar es Salaam au kupitia mawasiliano rasmi ya kampuni ndani ya siku 21 tangu tarehe ya tangazo hili.
**Imetolewa na:**
Kampuni ya WAJA
Buza, Dar es Salaam
*Fursa ni sawa kwa wote wenye sifa stahiki.*
I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com