Shelisheli kuna watu laki moja tu

TAIFA la Shelisheli ndilo lenye watu wachache zaidi Afrika likiwa na watu 119,878, hii ni kwa mujibu wa takwimu za tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ya taifa hilo, kulingana na matokeo ya sense ya Juni 30, 2022.

Sehemu kubwa ya taifa hilo imezungukwa na maji, hali inayofanya kuwa na sehemu kubwa ya vivutio vya utalii.

Sao Tome And Principe wanafuata wakiwa na watu 231,117, Western Sahara 584,302, Cape Verde 597,204, Comoros 848,379, mtandao wa Business Insider Africa unaripoti kwa ujumla wa takwimu zote.

Wakati mataifa hayo na mengine yakiwa na idadi ndogo, Nigeria inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu mpaka sasa wana watu zaidi ya milioni 227. Ethiopia inashika nafasi ya pili ikiwa na watu milioni 132. Egypt inashika nafasi ya tatu watu 111 kulingana na sense ya mwaka 2022.

Habari Zifananazo

Back to top button