SFG kukipiga na AS Vital, Singida Big Day

SINGIDA Fountain Gate itacheza na AS Vita Club ya DR Congo katika tamasha la ‘Singida Big Day’ lililopangwa kufanyika Agosti 2, 2023 uwanja wa Liti, Singida.

Singida itatumia mchezo huo kutambulisha nyota wake wapya iliyowasajili msimu huu.

Advertisement
4 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *