Simba kucheza na mshindi mechi ya Uhamiaji

CAIRO, Misri:KLABU ya Simba SC imepangwa kukutana na Uhamiaji FC ya Zanzibar au mshindi wa Kombe la FA nchini Libya ambapo wataanzia hatua ya pili michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF).

Timu ya Bravo FC ya Angola itakutana na Coastal Union ya Tanga, ambapo mshindi wa hapo atakutana na FC Lupopo.

Habari Zifananazo

Back to top button