Simba wanapitia magumu nyie!

DAR ES SALAAM; SARE ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Tanzania jana Janauri 18, 2026, imepokewa kwa hisi tofauti na mashabiki wa Simba ya Dar es Salaam, ambao wameeleza hofu ya mwenendo wa timu yao katika ligi na michuano ya kimataifa.

Kwenye makundi mbalimbali ya mitandao ya kijamii, mashabiki wa Simba wamekuwa wakishambuliwa kwamba uwezo wa timu yao ni mdogo na wataendelea kuwa wasindikizaji kwenye mbio za ubingwa. Nini maoni yako kuhusu mwenendo wa Simba

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button