Simba watambulisha kitasa kutoka Mamelodi

DAR ES SALAAM; SIMBA imeanza kutambulisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali mwaka 2025/26 na usiku huu imeanza na mlinzi wa kati Rushine De Reuck kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Rushine inaelezwa pia anamudu kucheza beki wa pembeni na kiungo wa ulinzi.



