Simba yaduwaza Waangola

ANGOLA; IKICHEZA pungufu karibu dakika 50 za mchezo baada ya beki Shomari Kapombe kuoneshwa kadi nyekundu dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza, Simba ya Dar es Salaam imetoka sare ya bao 1-1 na Petro de Luanda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

Licha ya matokeo hayo Simba inaendelea kuburuza mkia kwenye kundi lake, ikiwa na pointi mbili na ni timu pekee ambayo haijashinda mchezo kwenye kundi lao.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button