Stars ushindi lazima kufuzu AFCON leo

TIMU ya taifa “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kuikabili Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DR Congo katika mchezo muhimu wa kufuzu fainali za Kombe Mataifa ya Afrika(AFCON) Morocco 2025.

Stars inahitaji ushindi katika mchezo huo wa kundi H kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ili kujiweka sawa katika mbio za kuwania nafasi kushiriki fainali hizo.

SOMA: Taifa Stars yafuzu tena michuano ya AFCON 2023

Msimamo wa kundi H ni kama ifuatavyo:

Group H

TIMU P W D L GF GA +/- Pts
1
3 3 0 0 4 0 4 9
2
3 1 1 1 2 2 0 4
3
3 1 0 2 5 4 1 3
4
3 0 1 2 1 6 -5 1

Michezo mingine ya kufuzu AFCON Morocco 2025 inayofanyika leo ni kama ifuatavyo:

KUNDI A
Comoro vs Tunisia

KUNDI B
Lesotho vs Gabon

Jamhuri ya Afrika ya Kati vs Morocco

KUNDI C
Rwanda vs Benin
Libya vs Nigeria

KUNDI F
Sudan vs Ghana
Niger vs Angola

KUNDI G
Chad vs Zambia
Sierra Leone vs Ivory Coast

KUNDI H
Ethiopia vs Guinea

KUNDI I
Guinea-Bissau vs Mali

KUNDI K
Sudan Kusini vs Uganda
Congo vs Afrika Kusini

KUNDI L
Malawi vs Senegal

Habari Zifananazo

Back to top button