Takukuru Mtwara yafanikisha malipo ya Sh milioni 87.3

MTWARA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha malipo ya Sh milioni 87.3 za serikali katika sekta binafsi na umma.
Yamejiri hayo leo Mei 20, 2026 na Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara Mwanakombo Rajabu alipotoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari juu ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha miezi mitatu Januari hadi Machi mwaka huu.
Amesema miongoni mwa fedha hizo zilizofanikishwa katika malipo hayo ikiwemo Sh milioni 34,4 zilizotokana na kutolipwa kwa wakulima 35 wa zao la korosho katika msimu wa mauzo mwaka 2025/2026.
Malipo ya wakulima hao ni kutoka vyama vya msingi (AMCOS) za Namahonga, Langana, kuchele, chimbuko, madaba zilizopo katika Halmashauri ya ya Wilaya ya Tandahimba mkoani humo.
Mbali na hilo wamefanya ufuatiliaji wa miradi 32 ya maendeleo yenye thamani ya Sh bilioni 7.8 katika sekta ya barabara, afya, elimu, maji na mingine.
Pis malalamiko 214 yalipokelewa kati ya hayo asilimia 40 yalihusu vitendo vya rushwa na 60 hayakuhusishwa na vitendo vya rushwa.
- “Takukuru Mkoa wa Mtwara inawahakikishia wananchi utayari wa kushirikiana nao kwenye mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa na tunawasihi wananchi wote kushiriki katika kudhibiti vitendo vya dhidi ya rushwa,” amesema Mwanakombo.




References:
Lollybet Casino Download http://images.google.hn
References:
Lollybet Casino Verifizierung http://www.trevaskisfarm.co.uk
References:
Jokerstar Casino Einzahlung http://211-75-39-211.hinet-ip.hinet.net/Adredir.asp?url=https://s3.amazonaws.com/new-casino/National-Casino-App.html
References:
%random_anchor_text% sexstories.app
References:
Milky Way Casino Bewertung https://liquidmaps.org/
References:
Princess Casino Bewertung https://rentry.co/
References:
Candy96 payID https://toptalent.co.mz/employer/official-site-4
Ni hatua nzuri kuona TAKUKURU ikikamilisha malipo hayo ya wakulima, lakini mapambano dhidi ya rushwa yanapaswa kuelekezwa zaidi katika kuzuia mifumo mibovu ya AMCOS badala ya kusubiri vitendo hivi vitokee mkoani Mtwara.
This page really has all the information and facts I needed about this
subject and didn’t know who to ask.
task bar wiki | taskbarherowiki | taskbar hero wiki | tbh wiki | taskbahero wiki | taskherobar wiki | tbh task bar hero wiki | wiki task bar hero | task bar hero wiki
AI Photo Editor | Photo Editor | Free AI Photo Editor Online | Free AI Image Editor Online | Image Editor | AI Image Editor | Upscale Images to 4K
Fresh poppy pods are the seed pods that are harvested from the poppy flower. Poppies are known for their beautiful flowers, but it’s their seed pods that are of the most value. These pods contain the seeds for the next crop and, when dried, they are frequently used in floral arrangements and other decorative crafts. By using fresh poppy pods, you can take your art to the next level as it gives a natural and pleasant look to your creations.
AI image to image generator | AI Style Transfer | Image to Anime AI | Free Image to Image Generator | AI Image Upscaler | Image to Pixel Art | Photo to Cartoon Generator