TFF: Kauli za Amrouche hatuzitambui

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema shirikisho hilo haliungi mkono kauli ya kocha Adel Amrouche kwamba Morocco inapanga muda na waamuzi wa michezo yao.

buy zestril online petlosshelp.net/eblog/tiny_mce/utils/jpg/zestril.html no prescription pharmacy

“Sisi kauli yetu tunayoitoa tuko mbali na kauli zake na hatuzikubali, na tunajua tutafanya nini tuko kwenye mashindano, kuchukua hatua ambazo tutaona tunastahili kuchukua.

buy cipro online petlosshelp.net/eblog/tiny_mce/utils/jpg/cipro.html no prescription pharmacy

” amesema Karia.

Mapema leo akiwa nchini Ivory Coast wakati akizungumza na waandishi wa habari, kocha huyo alisema Morocco inapanga ratiba za mechi zao na waamuzi pia.

buy anafranil online petlosshelp.net/eblog/tiny_mce/utils/jpg/anafranil.html no prescription pharmacy

Karia amesema shirikisho litaongea na kocha huyo kudhibiti kauli zake ili kuepuka changamoto zingine zinazoweka kuwakuta.

Habari Zifananazo

Back to top button