Timu ya Bunge ya Netball yaichapa Benki ya NMB
Timu ya Bunge ya Netball yaibuka kidedea kwa kuicharanga timu ya Benki ya NMB magoli 29 kwa 4 wakati wa NMB Bunge Bonanza leo tarehe 17 Septemba, 2022 katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.




