Timu zilizofuzu 16 bora Uefa

RAUNDI ya sita hatua ya makundi imekamilika usiku huu, huku baadhi ya timu zikishindwa kuendelea hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Timu zilizofuzu 16 bora kama ifuatavyo

POT 1️⃣

🇩🇪 Bayern
🇩🇪 Borussia Dortmund
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City
🇪🇸 Real Madrid
🇪🇸 Barcelona
🇪🇸 Real Sociedad
🇪🇸 Atletico Madrid

POT 2️⃣

🇫🇷 PSG
🇮🇹 Inter
🇮🇹 Lazio
🇮🇹 Napoli
🇵🇹 Porto
🇩🇪 RB Leipzig
🇩🇰 Copenhagen
🇳🇱 PSV Eindhoven

Habari Zifananazo

Back to top button