Tinubu awatimua mawaziri watano

NIGERIA : RAIS wa Nigeria Bola Tinubu amewafukuza kazi mawaziri watano na kuwateua wapya saba katika mabadiliko ya baraza la mawaziri.

Miongoni mwa mawaziri walioteuliwa ni waziri wa masuala ya kibinadamu na kupunguza umaskini, biashara,uwekezaji, kazi na maendeleo ya mifugo.

Tinubu pia amewabadilisha mawaziri wengine 10, katika mabadiliko yanayolenga kuleta ufanisi zaidi katika utekelezaji wa shughuli za serikali.

Advertisement

SOMA: Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria