‘Tuenzi mazuri ya Membe’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2023 amemuwakilisha Rais  Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya marehemu Bernard Membe iliyofanyika kijijini kwake Rondo, Chiponda, mkoani Lindi.

Akizungumza na waombolezaji katika ibada hiyo Majaliwa amesema kuwa Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amewataka watanzania kumuombea na kuenzi yote mazuri aliyowahi kufanya marehemu Bernard Kamilius Membe wakati wa uhai wake.

 

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x