“Tuzo za kampuni ni vyenzo ukuaji uchumi”

DAR ES SALAAM: Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa kampuni 100 bora ni nyenzo muhimu ya kuvutia uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.

Waziri Shariff amesema hayo aliposhiriki hafla ya utoaji tuzo hizo zilizofanyika siku ya Ijumaa, katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es salaam.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button