Ukraine yakanusha kupeleka drone Mali

UKRAINE : SERIKALI ya Ukraine imekanusha taarifa za kuhusishwa na usambazaji wa droni kwa waasi wanaopigana Kaskazini mwa Mali.

Taarifa zilizotolewa hapo awali zimeripoti kuwa wapiganaji wa kundi la Tuareg nchini Mali wanatumia droni za Ukraine dhidi ya jeshi la Mali linalosaidiwa na kundi la mamluki wa Urusi la Wagner.   SOMA : Kambi ya usalama yashambuliwa Mali

Kufuatia taarifa hiyo,wizara ya mambo ya nje ya Ukraine imesema haihusiki na shutuma hizo za kusambaza droni kwa waasi nchini Mali.

Advertisement