UN kujadili mizozo duniani
MAREKANI : ZAIDI ya wakuu 100 wa umoja wa mataifa wamepangiwa kuhutubia jukwaa muhimu kuanzia leo hadi jumatatu wiki ijayo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema umoja wa mataifa unakabiliwa na changamoto nyingi za kimataifa ambazo zinashindwa kutatuliwa.
Hivi sasa duniani kumekuwa na migogoro mingi ya kisiasa na kiuchumi ambapo baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kimataifa wamesema Umoja wa Mataifa unaelekea kutokuwa na nafasi yoyote kwenye siasa wala usalama wa dunia.
SOMA : UN yajipanga kukabiliana karne 21