Usafiri wa wakulima na bei ya mpunga, mchele
MOROGORO: Wakulima wa wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wakiwa kwenye usafiri wa trekta wakitoka kuvuna mpunga kama walivyokutwa eneo la kijiji cha Ngongwa Juni 21,2024.
Bei ya kilo moja ya mpunga ni kati ya sh 485 na 600, wakati kilo ya michele ni kati ya sh 1,300 na 1,600.(Picha na John Nditi).