UTEUZI: Prof Janabi mshauri wa rais masuala ya afya

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi kuwa mshauri wa Rais wa masuala ya afya na tiba.

Taarifa ya uteuzi imetolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Mosses Kusiluka.

Advertisement