DAR ES SALAAM; Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa NishatiM Doto Biteko mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika JNICC jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).

