Vijana na mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

DAR ES SALAAM: Vijana zaidi ya 300 kutoka nchi mbalimbali wamekutana pamoja kwaajili ya kupanda mikoko katika fukwe za Kunduchi kwaajili ya kupanda miti aina ya mikoko ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Akizungumza wakati wa upandaji wa miti hiyo Oktoba 6, 2023, Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Misitu, Zainabu Bungwa amesema upandaji miti huo utasaidia kupunguza mafuriko.

Amesema miti hiyo ya mikoko pia inasaidia kunyonya hewa ya Carbon zaidi kuliko miti ya kawaida.

Ameongezea kwa kusema Pwani ni eneo hatarishi kwa uharibifu wa Mazingira na wao wakala wa misitu mawepewa dhamana na utaratibu wa hewa ukaa ili kuendana na mabadiliko ya tabianchi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa uongozi vijana Kimataifa Ejad Ahmad amesema ni muhimu kulinda ardhi ili kujilinda na mmomonyoko wa ardhi.

Nae mwanzilishi wa Taasisi ya Hope Foundation Shamim Nyanda Amesema ni jukumu lao kama vijana kuhakikisha wanatunza mazingira na kuiweka Tanzania Kuwa safi na salama kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Kongamano hilo litadumu kwa takribani siku nne hapa Nchini na leo ni siku tatu ambapo vijana hao wamepewa mafunzo mbalimbali juu ya kutunza mazingira.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Julia
Julia
1 month ago

Making an extra $15,000 per month from home by performing simple internet copy and paste jobs. This basic at-home job paid me $18,000 each year. Everyone may now easily make extra money online.
.
.
Detail Here————————————————————>>>  http://Www.BizWork1.Com

Work At Home
Work At Home
1 month ago

in just 5 weeks, I worked part-time from my apartment and earned $30,030. After losing my previous business, I quickly became exhausted. Fortunately, I discovered this jobs online, and as a result, I was able to start earning money from home right away. Anyone can accomplish this elite career and increase their internet income by….

After reading this article:…… http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work At Home
Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x