Vita ya Gyokeres na Haaland pale Emirates

ENGLAND: Ni vita ya washambuliaji wawili tishio, Viktor Gyokeres wa Arsenal na Erling Haaland wa Manchester City, ambapo leo watakutana katika mchezo wa Ligi Kuu England saa 12:30 jioni leo.

Michezo mingine itakuwa Bournmouth dhidi ya Newcastle United, Sunderland dhidi ya Aston Villa, michezo yote saa 10:00 Alasiri.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button