MICHEZO tisa inapigwa leo katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya ligi.
Liverpool inaongoza kundi la michuano hiyo inayoshirikisha timu 36 ikiwa na pointi 12 baada ya michezo mine wakati Slovan Bratislava ipo mwisho wa msimamo haina pointi.
SOMA: Arsenal vs PSG: Kibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mitanange inayopigwa leo ni kama ifuatavyo:
Slovan Bratislava vs AC Milan
Sparta Prague vs Atletico Madrid
Barcelona vs Brest
Bayer Leverkusen vs RB Salzburg
Bayern Munich vs Paris Saint-Germain
Inter vs RB Leipzig
Manchester City vs Feyenoord
Sporting CP vs Arsenal
Young Boys vs Atalanta