IRINGA: Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa katika picha ya pamoja na wauguzi na madaktari wa Hospitali ya Frelimo mkoani Iringa wakati wa kukabidhi misaada kwa wagonjwa wa hospitali hiyo hivi karibuni.

Kampuni hiyo iliwafikia wagonjwa katika hospitali hiyo ya wilaya ya Iringa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.