DAR ES SALAAM: MSHIKEMSHIKE wa Ubingwa wa Ligi kwa vijana chini ya miaka 17 unaandelea kwenye uwanja wa TFF Kigamboni, Dar es Salaam.
Mechi mbili zimepigwa leo asubuhi ambapo Pan African imeichapa Cosmopolitan mabao 2-1 huku KMC ililala mbele ya Azam kwa bao 1-0.