Wachezaji Azam, Coastal wakipasha kabla ya mechi

ZANZIBAR: Wachezaji wa timu ya Azam FC na Coastal Union wakipasha misuli tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar leo Alhamisi Agosti 8, 2024. (Picha na mtandao wa TFF).

Advertisement