Wadakwa wakisafirisha punda 46 nje ya nchi

ARUSHA; JESHI la Polisi kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido, Mkoa wa Arusha, wamekamata watuhumiwa wanne na punda 46 wakisafirishwa kinyume cha taratibu kwenda nje ya nchi.

buy isotroin online http://healthbabyfood.org/wp-content/uploads/2023/10/jpg/isotroin.html no prescription pharmacy

Kamanda wa Polisi kikosi hicho, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Simon Pasua amesema majina ya watuhumiwa hao yamehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi na utakapokamilika watafikishwa mahakamani.

Amesema Wizara ya Mifugo na Uvuvi ilishatoa maelekezo juu ya katazo la kusafirisha punda na mazao yake kutokana na kupungua kwa idadi ya punda, huku akiweka wazi kuwa jeshi hilo litaendelea kukamata wote watakaobainika kuhusika na usafirishaji punda nje ya nchi.

buy cytotec online http://healthbabyfood.org/wp-content/uploads/2023/10/jpg/cytotec.html no prescription pharmacy

Habari Zifananazo

Back to top button