Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo leo Disemba 19 amefungua mkutano wa wadau wa Elimu ya Ualimu jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo unalenga kujadili utekelezaji wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP) katika vyuo vya ualimu pamoja na utekeoezaji wa Sera ya Elimu na Mitaala iliyoboreshwa.(Picha na Wizara ya Elimu ya Elimu, Sayansi na Teknolojia)