Wafanyabiashara watakiwa kuzifahamu sheria za ushindani

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara, Sempeho Manongi, akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, amewataka wafanyabiashara na wadau wa soko nchini kujielimisha kuhusu sheria za ushindani ili kuepuka changamoto za kisheria zinazoweza kuathiri shughuli zao.

Akizungumza Machi 3, 2026 wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau jijini Dar es Salaam, amesema uelewa wa sheria hizo ni msingi wa kulinda maslahi ya washiriki wa soko na kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi.

Amebainisha kuwa elimu inayotolewa na Baraza la Ushindani (FCT) inalenga kujenga mazingira bora ya biashara yenye uwazi, usawa na ulinzi wa mlaji, badala ya kutoa adhabu.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa FCT, Mhe. Jaji Rose A. Ebrahim, amewahimiza wafanyabiashara kuepuka vitendo vinavyokiuka sheria kama kupanga bei, kugawana masoko au kuingia mikataba inayodhoofisha ushindani.

Amesema biashara inayozingatia uadilifu husaidia kupunguza gharama za maisha na kuongeza ubora wa bidhaa na huduma sokoni.

Ameongeza kuwa Baraza limeimarisha mifumo yake kwa kutumia TEHAMA na kuongeza uwazi katika utoaji wa maamuzi ili kuhakikisha rufaa zinashughulikiwa kwa haraka na kwa kuzingatia viwango vya kimataifa.

Naye Msajili wa FCT, Wema Mbegu Kaskasi, amesema jukumu la Baraza ni kusikiliza na kuamua rufaa zinazotokana na maamuzi ya mamlaka za udhibiti ikiwemo FCC, EWURA, LATRA, TCAA, TCRA na PURA. Amesema semina hiyo ni sehemu ya mkakati wa kitaifa wa kutoa elimu kwa wadau, ambapo tayari Baraza limefikia mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kuhakikisha wananchi wanazifahamu na kuzitumia huduma zake kwa urahisi.

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. **TANGAZO LA AJIRA**

    **NAFASI: MHARIRI WA KITABU**

    Mwandishi anatangaza nafasi ya kazi kwa **Mhariri wa Kitabu** kitakachoitwa:

    ### *JIRANI YAKO LAZIMA UKITEKELEZE*

    **Je, Jirani unataka kiwanja kilichopimwa au kisichopimwa?**
    *(Kilichoandaliwa na Kampuni ya YAO – Kenya)*

    #### Majukumu:

    * Kuhariri na kuboresha lugha, mtiririko na mpangilio wa kitabu.
    * Kusahihisha makosa ya kisarufi, tahajia na uakifishaji.
    * Kushauri maboresho ya maudhui ili yawe wazi na yenye mvuto kwa wasomaji.
    * Kuhakikisha ubora wa mwisho wa maandishi kabla ya uchapishaji.

    #### Sifa za Mwombaji:

    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho mengine.
    * Ujuzi mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Awe makini, mbunifu na mwenye kuzingatia muda.
    * Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kwa ushirikiano.

    #### Jinsi ya Kutuma Maombi:

    Tuma wasifu wako (CV) pamoja na mifano ya kazi ulizowahi kuhariri kupitia barua pepe au mawasiliano yatakayotolewa na mwajiri.

    **Mwisho wa kutuma maombi:** (23/12/5000)

    Jiunge nasi katika kuandaa kitabu bora kitakachosaidia jamii kufanya maamuzi sahihi kuhusu umiliki wa viwanja!

    Karibu sana.

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. **TANGAZO LA AJIRA**

    **NAFASI: MHARIRI WA KITABU**

    Mwandishi anatangaza nafasi ya kazi kwa **Mhariri wa Kitabu** kitakachoitwa:

    ### *JIRANI YAKO LAZIMA UKITEKELEZE*

    **Je, Jirani unataka kiwanja kilichopimwa au kisichopimwa?**
    *(Kilichoandaliwa na Kampuni ya YAO – Kenya)*

    #### Majukumu:

    * Kuhariri na kuboresha lugha, mtiririko na mpangilio wa kitabu.
    * Kusahihisha makosa ya kisarufi, tahajia na uakifishaji.
    * Kushauri maboresho ya maudhui ili yawe wazi na yenye mvuto kwa wasomaji.
    * Kuhakikisha ubora wa mwisho wa maandishi kabla ya uchapishaji.

    #### Sifa za Mwombaji:

    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho mengine.
    * Ujuzi mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Awe makini, mbunifu na mwenye kuzingatia muda.
    * Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kwa ushirikiano.

    #### Jinsi ya Kutuma Maombi:

    Tuma wasifu wako (CV) pamoja na mifano ya kazi ulizowahi kuhariri kupitia barua pepe au mawasiliano yatakayotolewa na mwajiri.

    **Mwisho wa kutuma maombi:** (23/12/5000)

    Jiunge nasi katika kuandaa kitabu bora kitakachosaidia jamii kufanya maamuzi sahihi kuhusu umiliki wa viwanja!.

    Karibu sana.

  3. **TANGAZO LA AJIRA**

    **NAFASI: MHARIRI WA KITABU**

    Mwandishi anatangaza nafasi ya kazi kwa **Mhariri wa Kitabu** kitakachoitwa:

    ### *JIRANI YAKO LAZIMA UKITEKELEZE*

    **Je, Jirani unataka kiwanja kilichopimwa au kisichopimwa?**
    *(Kilichoandaliwa na Kampuni ya YAO – Kenya)*

    #### Majukumu:

    * Kuhariri na kuboresha lugha, mtiririko na mpangilio wa kitabu.
    * Kusahihisha makosa ya kisarufi, tahajia na uakifishaji.
    * Kushauri maboresho ya maudhui ili yawe wazi na yenye mvuto kwa wasomaji.
    * Kuhakikisha ubora wa mwisho wa maandishi kabla ya uchapishaji.

    #### Sifa za Mwombaji:

    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho mengine.
    * Ujuzi mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Awe makini, mbunifu na mwenye kuzingatia muda.
    * Uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea na kwa ushirikiano.

    #### Jinsi ya Kutuma Maombi:

    Tuma wasifu wako (CV) pamoja na mifano ya kazi ulizowahi kuhariri kupitia barua pepe au mawasiliano yatakayotolewa na mwajiri.

    **Mwisho wa kutuma maombi:** (23/12/5000)

    Jiunge nasi katika kuandaa kitabu bora kitakachosaidia jamii kufanya maamuzi sahihi kuhusu umiliki wa viwanja!

    Karibu sana…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button