WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Mkoa wa Dodoma wakishiriki maandamano ya siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Jamhuri.(Picha zote na Benedict Msungu).