Wafungwa 4,000 waachiwa Nigeria
Zaidi ya wafungwa 4,000 waachiwa Nigeria
SERIKALI ya Nigeria imetangaza kuwaachia wafungwa zaidi ya 4,000 ili kupunguza msongamano magerezani.
–
Waziri wa Mambo ya Ndani Olubunmi Tunji-Ojo alisema walioachiliwa ni wafungwa ambao walikuwa wamezuiliwa kwa kutolipa faini.
–
Alisema ni sehemu ya mpango wa Rais Bola Tinubu ambao ni pamoja na kuanzisha hukumu zaidi zisizo za kifungo.
–
#HabariLeo #DailyNews #SpotiLeo



