Waziri Masauni kugombea jimbo la Kikwajuni

ZANZIBAR: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge katika Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar kwa mara nyingine.
Masauni amechukua fomu hiyo Juni 30, 2025 kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Zanzibar, Bilal Hussein Maulid.
SOMA ZAIDI