Waziri Mkuu amjulia hali Dugange Hospitali ya Mkapa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk. Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Jijini Dodoma baada ya kupata ajali ya gari usiku wa Aprili 26, 2023.

Habari Zifananazo

Back to top button