Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) George Mkuchika, wakati wa kikao cha sita cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 05.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, wakati wa kikao cha sita cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge, Bungeni ijini Dodoma leo Novemba 05.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)