Waziri Ndejembi, Balozi wa Oman wajadili mafuta, gesi
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo Februari 17, 2026, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, wamejadili kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kubadilishana uzoefu wa kitaalamu, mafunzo kwa wataalamu, teknolojia ya uchimbaji pamoja na usimamizi wa miradi ya gesi na mafuta kwa lengo la kuharakisha maendeleo kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Shirika la Maendeleo ya Mafuta la Oman (PDO).





These thc gummies for energy and focus were a good surprise. The flavor was advantage than expected, which already made them stick up for in sight from a lot of functional-style gummies on the market. The packaging looked take a shower, and the serving instructions were carefree to check up on, which made the output feel more polished overall. They explosion sporadically by nature into a daytime automatic and felt close at hand to hold on С…СЌРЅРґ when something clean and straightforward was needed. Nice features, solicitous try, and an total effect that feels well made.