MAREKANI : Waendesha mashtaka kumi wafutwa kazi

MAREKANI : MAAFISA wa Wizara ya Sheria ya Marekani wametangaza kuwafuta kazi waendesha mashtaka kumi waliokuwa wakisimamia kesi za jinai dhidi ya Rais Donald Trump.

Maafisa hao wamesema hawawezi kuwaamini waendesha mashtaka hao kutokana na madai ya kufuatilia kesi mbili za Trump, ikiwemo ya kujihusisha na nyaraka za siri na kuingilia uchaguzi.

Hata hivyo, katika mchakato huo,Mwanasheria Maalum Jack Smith alijuzulu muda mfupi baada ya uchaguzi wa Desemba, akitaja sera ya Wizara ya Sheria inayokataza kumshtaki rais aliye madarakani.

SOMA: Mahakama ya juu yagoma kusitisha hukumu ya Trump

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button