Xabi Alonso aaga rasmi Bayer Leverkusen

KOCHA Mkuu wa klabu ya Bayer Leverkusen, Xabi Alonso, ameiaga rasmi timu hiyo ya Ligi Kuu Ujerumani-Bundesliga baada ya kuitumikia kwa zaidi ya miaka miwili.
Kwa muda sasa Alonso amehusishwa kuondoka Leverkusen.
Tetesi zinasema Alonso amesaini mkataba wa miaka mitatu Real Madrid ya Hispania hadi 2028.
“Baada ya miaka mwili na nusu na kipindi cha mafanikio zaidi katika historia ya klabu, kocha wetu mkuu, Xabi Alonso ataondoka #Bayer04 mwisho wa msimu,” imesema taarifa ya Leverkusen.
Alonso ameshinda mataji mtatu akiwa kocha Leverkusen ambayo ni Bundesliga na Kombe la DFB msimu wa 2023/24 na Supercup 2024.
I was BROKE and desperate… now I make $3,000+ weekly from my couch! Just 30 days ago, I was stuck in a dead-end job, living paycheck to paycheck. Then I found this secret method—and everything changed Anyone can do this in their free time. Spots are LIMITED! Don’t miss out!
Join now➤➤ 𝐖𝐰𝐰.𝐄𝐚𝐫𝐧𝐀𝐩𝐩𝟏.𝐜𝐨𝐦