XI akutana na Waziri Mkuu Italia

BEIJING, China – Rais Xi Jinping wa China amekutana na Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni mjini Beijing siku ya Jumatatu ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo inayotajwa kulenga kuimarisha mahusiano kati ya mataifa hayo mawili.

SOMA: Bunge lamchagua tena XI Jinping

Advertisement