Yanga pekee haijafungwa bao Ligi Kuu

 

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ni klabu pekee haijafungwa bao hadi sasa baada ya leo kushinda mchezo wake wa raundi ya saba dhidi ya Coastal Union kwa bao 1-0.

SOMA: Coastal Union kuizuia Yanga Ligi Kuu leo?

Advertisement

Jean Baleke amefunga bao hilo dakika 25 katika mchezo uliofanyika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.