Yanga wafagiliwa matokeo ugenini

ALGERIA; KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Concalves ame furahishwa na kiwango kilichooneshwa na kikosi chake kwenye mchezo wa Ligi ya Ma bingwa Afrika dhidi ya wenyeji JS Kabylie katika Uwanja wa Hocine Ait Ahmed mjini Tizi Ouzou.
Yanga ilitoka suluhu ugenini dhidi ya JS Kabylie, huku FAR Rabat ikitoka 1-1 na Al Ahly, hivyo Yanga kufikisha pointi nne katika nafasi ya pili, sawa na Al Ahly wakitofautiana kwa mabao ya kufunga na kufungwa.
“Tumeonesha kiwango kizuri, hasa kipindi cha kwanza na tulita mani kupata pointi tatu,” alisema Pedro na kuongeza:
“Tulikuwa wazuri katika kunyang’anya mipira lakini mabadiliko tuliyofanya hayaku fanya kile nilichotarajia. Nampongeza golikipa Djigui Diarra kwa kazi nzuri aliyofanya.”




I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com