Zaidi ya 10,000 wanakufa kwa mwaka changamoto ya uzazi

MENEJA wa Afya Mama, Mtoto na Vjina, (UNFPA) Felister Bwana amesema wanashuhudia vifo vya wanawake 8000 hadi 11,000 kwa mwaka kutokana na changamoto ya uzazi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salam, amesema kuwa wakunga wakipewa elimu ya kutosha wutapunguza vifo vitokanavyo na changam,oto hiyo.

“Asilimia kubwa wanakufa baadaa ya kutokwa na damu nyingi shida bado ipo pamoja na juhudi tunazofanya na serikali tunatakiwa kufanya kuboreshaa Hali ya Wakunga,” amesema Bwana.

Ameongeza mkunga pekee yake anaweza kupunguza vifo vyanatakiw wakina mama kwa asilimia 64 japo kuna madaktari pamoja na wengine .

Bwana amesema pamoja na yote bado kuna changamoto kubwa ya uhaba wa wakunga ambapo kwa sasa elimu ya wakunga hafiki hata 1000 na wanatakiwag walimu wenye uzoefu na taaluma hivyo

Habari Zifananazo

Back to top button