Zamu ya Morogoro leo

MOROGORO: Baada ya jana kuzindua kampeni za Uchaguzi Mkuu jijini Dar es Salaam, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suhulu Hassan leo atakuwa mkoani Morogoro.

Mkoa huo utakuwa wa pili, baada ya jana kuanza Dar es Salaam.

Aidha, mgombea mwenza, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ameshawasili jijini Mwanza kuanza kampeni hizo.

SOMA ZAIDI

Nchimbi awasili Mwanza kampeni uchaguzi mkuu

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button