Year: 2024

Afya

Mtoto atolewa ‘screw’ kwenye mapafu

MTOTO mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera na kwenda kuinasa na kisha kuito. Mtoto…

Soma Zaidi »
Uchumi

Bashe ataja sababu upungufu wa sukari,tani100,000 zaagizwa

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Farao aliyepeleka msiba Ghana

WAKATI baadhi ya mataifa kwenye michuano ya AFCON yakiendelea kuumizana, tujikumbushe Farao mmoja wa kuitwa Mohammed Nagy ‘Gedo’ aliyepeleka msiba…

Soma Zaidi »
Jamii

DC aagiza maji ya visima yapimwe

KATAVI; Mpanda. Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameziagiza mamlaka za afya na maji kushirikiana, ili kuainisha idadi ya…

Soma Zaidi »
Siasa

Rais Samia amfagilia Issa Gavu

ZANZIBAR; Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania , Dk Samia Suluhu Hassan amemwagia sifa Katibu wa Idara…

Soma Zaidi »
Siasa

Dk Mpango: zingatieni fursa za kilimo

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amesema ni wakati umefika kwa watunga sera barani Afrika kutambua umuhimu wa kilimo na…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wadakwa kwa pesa bandia

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watu wanne wakiwa na noti za bandia zenye thamani ya sh milioni 1.5…

Soma Zaidi »
Madini

Madini yaridhika na bidhaa zinazozalishwa nchini

TUME ya Madini imejiridhisha kuwa vitu vinavyozalishwa na wawekezaji hapa nchini vina ubora unaotakiwa. Aidha, imeahidi kutoa elimu kwa wenye…

Soma Zaidi »
Jamii

Usafiri wa treni mikoani wasitishwa

DAR ES SALAAM:SHIRIKA la Reli (TRC) limesitisha huduma za usafiri wa treni, kutoka Dar es Salaam kuelekea katika mikoa ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Dugange: Fuatilieni afya zenu kama AFCON

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dk Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto…

Soma Zaidi »
Back to top button