Year: 2025

Afya

MOI, India watengeneza miguu bandia kwa Watanzania 600

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Taasisi ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Dk Mwigulu aagiza mkandarasi kukamatwa, kuzuia hati yake

WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi…

Soma Zaidi »
Dodoma

TAKUKURU yatoa mafunzo SIDO Dodoma

Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( (PCCB) Mkoa…

Soma Zaidi »
Siasa

Wakili msomi Chaula ausaka umeya Iringa Mjiini

IRINGA: Wakili msomi, Jackson Chaula, Diwani wa Kata ya Mlandege, amejiweka rasmi kwenye ramani ya kinyang’anyiro cha Umeya wa Manispaa…

Soma Zaidi »
Jamii

Baba afanya mauaji ya mtoto kisha ajinyonga

MWANAUME mmoja, Derick Mwangama (23), mkazi wa Kijiji cha Mpandapanda, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, amemuua mtoto wake Devina Derick…

Soma Zaidi »
Fedha

Mapambano ya rushwa ni jukumu la wote

MAPAMBANO dhidi ya ubadhilifu na rushwa ni jukumu la pamoja, si la mtu mmoja au serikali pekee, hivyo wananchi na…

Soma Zaidi »
Jamii

Wenyeviti waagizwa kuwa karibu na wananchi

WENYEVITI wa vijiji na vitongoji wilayani Monduli wametakiwa kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha wanasikiliza na kutatua changamoto zao ili…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania kamili Manila Kombe la Dunia Futsal

TIMU ya Soka ya Taifa ya mpira wa Futsal imewasili salama mjini Manila, Ufilipino juzi, tayari kwa michuano ya fainali…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Rais Mwinyi awateua makatibu wakuu

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amefanya uteuzi wa makatibu wakuu…

Soma Zaidi »
Utalii

Tanapa yaita wawekezaji Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

BODI ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imeendelea kuhamasisha na kuwakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika Hifadhi…

Soma Zaidi »
Back to top button